Mkenya Samwel Muchai abanduliwa nje ya fainali ya mbio za mita 5000 katika paralimpiki ufaransa,

  • | NTV Video
    115 views

    Tukiangazia macho mashindano ya wanaoishi na ulemavu- paralimpiki nchini ufaransa, Mkenya Samwel Muchai alibanduliwa nje ya fainali ya mbio za mita 5000 katika uwanja wa stade de France licha ya kumaliza katika nafasi ya nne. Kwengineko Mkenya Neema Stency Obonyo alilemewa na mpinzani wake ali hassan kwa alama 12 - 3 katika raundi ya 16 ya mashindano ya para taekwondo

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya