Siku ya Kuwakumbuka Waliopotea I Wateteaji haki washinikiza kurejelewa kwa utafutaji miili Kware

  • | KBC Video
    72 views

    Makundi ya kutetea haki za binadamu yanashinikiza kurejelewa kwa shughuli ya kutafuta mili katika eneo la kutupa taka la Kware. Wakiongozwa na kundi la Africa Group, wanaharakati hao wamekashifu hatua ya kusitisha shughuli hiyo licha ya mshukiwa mkuu wa mauaji hayo kukiri wazi kuwa aliuwaua zaidi ya wanawake-42. Aidha, wana-harakati hao wanataka majibu kuhusu oparesheni ya kumsaka mshukiwa mkuu aliyetoroka kwenye kituo cha polisi zaidi ya wiki mbili zilizopita. John Kahiro na taarifa kamili kuhusu matakwa ya Wakeya huku Kenya ikiungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kuwakumbuka watu waliotoweka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive