Kenya yanakili kisa cha tatu cha ugonjwa wa Mpox

  • | KBC Video
    24 views

    Wizara ya afya imetangaza kisa cha tatu cha maambukizi ya ugonjwa wa Mpox humu nchini. Mkurugenzi mkuu wa huduma za afya Patrick Amoth amesema kisa hicho kimeripotiwa kaunti ya Nairobi na kinamhusisha mwanamke wa umri wa miaka-30 aliyesafiri kutoka Uganda wiki iliyopita. Amoth kupitia taarifa yake amethibitisha kuwa mgonjwa huyo hayuko katika hali mbaya ana anatibiwa katika wadi moja iliyotengwa jijini Nairobi. Na jinsi anavyotuarifu Abdiaziz Hashim kuna taarifa kwamba mgonjwa wa pili wa Mpox amepona na kuondoka hospitalini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive