Shirika la kawi ya nuklia kushauriana ili kulainisha kozi zinazotolewa katika nyanja ya kinuklia

  • | KBC Video
    7 views

    Shirika la kawi ya nuklia linashauriana na taasisi-10 za elimu ya juu kulainisha baadhi ya kozi zinazotolewa katika nyanja ya kinuklia ili kuiandaa Kenya katika ustawishaji kawi ya nuklia. Mkurugenzi wa mikakati kwenye shirika la kawi ya nuklia, Dr Winnie Ndubai amesema dhamira hasa ni kupata wataalamu wanaohitajika kwenye vituo vya kinuklia humu nchini pindi vitakapojengwa miaka kumi ijayo. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive