- 179 viewsWaandamanaji walikusanyika karibu na ubalozi wa Israel huko Amman, Jordan leo Ijumaa kuwaunga mkono Wapalestina huko Gaza. Takriban watu 250 walionekana kwenye maandamano hayo, wakibeba mabango na kuimba nyimbo. Katika siku za hivi karibuni, Israel imetoa amri kadhaa zaidi za wakazi wa Gaza kuondoka tangu kuanza kwa vita vya miezi 10, na kusababisha malalamiko kutoka kwa Wapalestina, Umoja wa Mataifa na maafisa wa misaada juu ya kusitishwa kwa misaada ya biandamu kufikia maeneo ya kibinadamu na kutokuwepo kwa maeneo salama. Shambulizi la hivi punde katika mzozo wa miongo kadhaa kati ya Israel na Palestina ulichochewa Oktoba 7 wakati kundi la Palestina la Hamas liliposhambulia Israel, na kuua 1,200 na kuchukua mateka wapatao 250, kulingana na idadi iliyotolewa na Israel. Mashambulio yaliyofuata ya Israel dhidi ya eneo linalotawaliwa na Hamas tangu wakati huo yameua zaidi ya Wapalestina 40,000, kwa mujibu wa wizara ya afya ya eneo hilo, huku pia ikiwafukuza karibu watu wote milioni 2.3, na kusababisha baa la njaa na kusababisha madai ya mauaji ya kimbari katika Mahakama ya Dunia ambayo Israel inakanusha. - Reuters #gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
Waandamanaji walaani mauaji yanayoendelea Gaza mbele ya Ubalozi wa Israel Amman
- - Duniani Leo ››
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
- 6 Aug 2025 - If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs