Kenya yathibitisha kisa cha 4 cha Mpox

  • | KBC Video
    32 views

    Wizara ya afya imethibitisha kisa cha nne cha maambukizi ya ugonjwa wa Mpox hapa nchini. Kwenye taarifa, katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni alisema katika kipindi cha saa 24 zilizopita, kwamba kisa kipya cha maambukizi ya Mpox kimethibitishwa na kufikisha idadi ya visa hivyo kuwa vinne. Kisa hicho ni miongoni mwa vile vilivyoripotiwa katika kaunti za Taita Taveta, Busia, Nairobi na Nakuru, kila kaunti ikithibitishwa kuwa na kisa kimoja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive