Nahodha wa Harambee Stars Michael Olunga ajumlishwa kwenye kikosi licha ya kuwa na jeraha

  • | Citizen TV
    496 views

    Nahodha Wa Harambee Stars Michael Olunga Amejumlishwa Kwenye Kikosi Cha Mwisho Licha Ya Kuwa Kwenye Ati Ati Ya Kushiriki Mechi Za Kuwania Kufuzu Kwa Dimba La Afcon Mwezi Huu.