Shule nane za upili zimefungwa katika kaunti ya Makueni, huku mgomo wa walimu wa KUPPET ukiendelea.

  • | Citizen TV
    1,175 views

    Wanafunzi katika baadhi ya shule wakisema wanasalia shuleni bila kufunzwa. Baadhi ya wasimamizi wa shule wanaarifu kuwa wamechukua hatua hiyo kufuatia hali ya ati ati inayoshuhudiwa kwa sababu ya mgomo huo wa walimu. Tuungane naye Michael Mutinda ambaye yuko katika Shule ya upili ya wasichana ya AIC Nyayo huko Makueni.