Wakenya wahimizwa kutalii mbuga za humu nchini

  • | KBC Video
    17 views

    Waziri wa Utalii, Rebecca Miano amewahimiza Wakenya kutalii mbugha za humu nchini ili kuimarisha utalii wa mumu humu nchini.Akiongea katika mbugha ya kitaifa ya Tsavo kaunti ya Taita Taveta, waziri Miano alisema serikali inadhamiria kusawazisha vivutio vya watalii ili kuboresha sekta ya utalii. Miano alipongeza shirika la kuhifadhi wanyama pori-KWS kwa juhudi zake za kutunza mbugha za wanyama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive