Gilbert Masengeli aagizwa kufika kotini kuhusiana na kutoweka kwa watu watatu Kitengela

  • | Citizen TV
    1,093 views

    Mahakama kuu imemwagiza kaimu inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli kujiwasilisha kortini saa tisa alasiri kuhusiana na kutoweka kwa ndugu wawili na mwanaharakati katika eneo la Kitengela wiki mbili zilizopita.