Rais Ruto akutana na Rais wa China Xi Jinping na kuzungumza kuhusu uendelezaji wa Kenya

  • | NTV Video
    791 views

    Rais William Ruto asubuhi hii masaa ya Afrika Mashariki amekutana na rais wa China Xi Jinping, katika mazungumzo hayo wawili hao wamezungumza kuhusu uendelezaji wa kenya katika sekta za ukulima, ujenzi wa barabara na ukuzaji wa nchi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya