Waziri Justin Muturi ahakikishia wafanyikazi wa umma kuwa mishahara yao italipwa

  • | Citizen TV
    325 views

    Waziri Wa Utumishi Wa Umma Justin Muturi Amewahakikishia Wafanyikazi Wa Umma Kuwa Mishahara Yao Italipwa Kwa Mujibu Wa Mkataba Wa Makubaliano Baada Ya Hazina Ya Kitaifa Kukubali Kutoa Pesa Za Kufanikisha Hayo. Muturi Amewataka Wafanyikazi Wa Umma Kusalia Watulivu Na Kufutilia Mbali Mgomo Uliopangiw Akufanyika .