Baadhi ya walimu kutoka Magharibi na Bonde la Ufa wasema Akelo Misori aliwasaliti

  • | Citizen TV
    1,292 views

    Tofauti Zimeibuka Kati Ya Viongozi Wa Chama Cha Walimu Wa Sekondari Na Vyuo Anwai - Kuppet. Walimu Katika Kaunti Za Magharibi, Kati Na Bonde La Ufa Wanalalamika Kuwa Katibu Mkuu Wa Kuppet Akelo Misori Hakufuata Taratibu Zilizoko Kusitisha Mgomo.