Waziri wa utalii ahimiza wakenya kuzuru mbunga za wanyama pori ili kupiga jeki uchumi nchini

  • | NTV Video
    140 views

    Waziri wa utalii na Wanyama Pori Rebecca Miano amewahimiza wakenya kuzuru mbunga za wanyama pori nchini haswa zilizoko karaibu nao kama njia mojawapo ya kupiga jeki uchumi nchini . Akizungumza katika ziara yake ya kwanza katika mbuga ya wanyamapori ya tsavo magaribi , kaunti ya Taita Taveta , miano alidai serikali imeweka mikakati kabambe ya kupiga jeki utalii wa ndani kwa ndani kama njia ya kupanua sekta hio .

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya