Walimu warejea shuleni baada ya KUPPET kufutilia mbali mgomo

  • | KBC Video
    13 views

    Shughuli za masomo katika shule za sekondari kote nchini zimerejelewa baada ya chama cha walimu wa sekondari na vyuo kusitisha mgomo wa wanachama wake baada ya kuafikiana na tume ya kuajiri walimu. Pita pita zetu zilibaini kwamba idadi ndogo ya wanafunzi wamerejea shuleni siku moja tu baada ya mgomo huo kusitishwa.Mgomo huo ulisitishwa saa chache baada ya shule kadhaa kuamua kuwatuma nyumbani wanafunzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive