Biashara I Kenya yaimarisha msako dhidi ya vituo vinavyoagiza mbegu duni

  • | KBC Video
    7 views

    Kenya imeimarisha msako dhidi ya vituo vinavyoagiza mbegu duni na kuwauzia wakulima. Mwenyekiti wa idara ya ukaguzi wa afya ya mimea nchini, KEPHIS, Joseph M’uthari aliyezungumza alipokagua kituo cha mpakani cha Namanga alisema kuwa wafanyabiashara kadhaa walaghai wanasakwa na maafisa wa usalama kuhusiana na uovu huo. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive