Mtu mmoja afariki huku wengine sita wakipata majeraha baada ya watu wenye silaha kuwavamia

  • | K24 Video
    55 views

    Mtu mmoja alifariki dunia huku wengine sita wakipata majeraha baada ya watu wenye silaha na wasiojulikana kulivamia basi Jumatatu usiku, basi hilo lilikuwa likiendeshwa katika barabara ya moyale kuja Nairobi.