Meru: Wahudumu wa bodaboda waandamana kulalamikia ukosefu wa usalama

  • | NTV Video
    188 views

    Shughuli za kawaida na biashara katika mji wa Iridii, Igembe ya kati kaunti ya Meru zilisimama baada ya wahudumu wa bodaboda kuandamana barabarani kupinga ongezeko la visa vya ukosefu wa usalama eneo hilo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya