Wizara ya afya katika kaunti ya Kajiado yatoa tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox

  • | Citizen TV
    246 views

    Wizara ya afya katika kaunti ya Kajiado imetoa tahadhari kwa wakazi kuwa makini na kujikinga dhidi ya ugonjwa wa Mpox, ikizingatiwa kuwa kaunti hiyo inapakana na nchi Jirani ya Tanzania.