Polisi wa kiwango cha konstebo wapata nyongeza ya mshahara

  • | TV 47
    20 views

    Ni tabasamu kwa maafisa wa polisi baada ya kutangazwa kwa nyongeza ya mishahara yao kwa asilimia 40. Konstebo wa polisi sasa atapokea nyongeza ya shillingi 4000 kwenye mshahara wake wa msingi.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __