Siha na Maumbile | Ongezeko la maradhi ya gesi tumboni (gastritis)

  • | Citizen TV
    547 views

    Maradhi mbalimbali huweza kuathiri tumbo ugonjwa wa gastritis ukiwa mojawapo. Ni ugonjwa ambao sio rahisi kutambuliwa kutokana na kwamba mara nyingi wanaothirika hawaonyeshi dalili mapema. Katika Siha na maumbile juma hili, tunaangazia mengi kuhusu ugonjwa huu, na Mwanahamisi Hamadi