Shughuli ya kutafuta miili zaidi yaendelea katika shule ya msingi ya Hillside Endarasha Academy

  • | Citizen TV
    8,018 views

    Shughuli ya kutafuta miili zaidi inaendelea katika shule ya msingi ya HILLSIDE ENDARASHA ACADEMY, katika kaunti ya NYERI ambapo wanafunzi kumi na saba wameripotiwa kufariki huku wengine kumi na wanne wakikimbizwa katika hospitali mbalimbali kwa matibabu. Wizara ya elimu imesema kuwa shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 824. ambapo 316 kati yao wanasitiriwa kwenye mabweni ambapo bweni lilipoteketea lilikuwa na wavulana 156. wazazi wanapokea ushauri nasaha unaotolewa na maafisa w akenya red cross shuleni humo.