Shule Ya Upili Ya Matiku Yafungwa

  • | NTV Video
    456 views

    Shule ya upili ya Matiku, Makueni, imefungwa ghafla kufuatia moto.

    Moto huo uliteketeza bweni la zaidi ya wanafunzi 150.