- 136 viewsMajeshi ya Israeli yaliondoka kutoka katika mji wa Palestina wa Jenin Ijumaa (Septemba 6), wakiacha athari za uharibifu mkubwa wa majumba na miundombinu, kufuatia moja ya operesheni kubwa kabisa ya kiusalama katika eneo ambalo limekuwa likikaliwa kwa mabavu huko Ukingo wa Magharibi kwa miezi kadhaa. Akihojiwa kuhusu madai ya kuwa eneo hilo lina maghaidi, Samaher Abu Nassa, mkaazi wa eneo hilo la Jenin alisema: Hapana, sisi siyo magaidi, sisi ni watu wa amani. Wao ndiyo magaidi, wanawauwa watoto wetu.” Jeshi la Israeli lilisema operesheni hiyo ililenga kuzuia vikundi vya wanamgambo vinavyoungwa mkono na Iran kupanga mashambulizi dhidi ya raia wa Israeli. Limesema kuwa majeshi ya Israeli yamewauwa wanamgambo 14 wakati wa operesheni hiyo, ikiwemo makamanda wa eneo wa Hamas huko Jenin. Siku ya Ijumaa, maelfu walijiunga katika maziko kuwapeleka makaburini wale waliouwawa wakati wa mapigano. Wakati majeshi ya Israeli yalijikita hasa katika sehemu kubwa ya mwaka uliopita huko Gaza, Ukingo wa Magharibi umeshuhudia kuongezeka ghasia. Zaidi ya Wapalestina 680 wameuwawa huko Ukingo wa Magharibi na East Jerusalem, kulingana na wizara ya afya ya Palestina. #voaswahili #afrika #hezbollah #israel #hamas #fatah #iran #islamicjihad #watoto #vifo #jenin #gaza
Majeshi ya Israeli yaacha athari za uharibifu Jenin
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
- 6 Aug 2025 - How firm's bid to turn waste into cash is paying off
- 6 Aug 2025 - MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
- 6 Aug 2025 - If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children