KTDA yahimizwa kuharakisha taratibu za kutenganisha viwanda vidogo-17 Kericho

  • | KBC Video
    39 views

    Katibu katika wizara ya kilimo Paul Rono ameagiza shirika la ustawi wa majani chai humu nchini-KTDA na bodi ya majani chai kuharakisha taratibu za kutenganisha viwanda vidogo vidogo-17 vya kutayarisha zao hilo kutoka kwa viwanda vyao vikuu katika kaunti ya Kericho. Akiongea wakati wa mkutano baina ya wakulima na wadau wa sekta ya majani chai katika kiwanda cha majani chai cha Chelal huko Bureti, kaunti ya Kericho, Rono alikariri haja ya kuvipa viwanda hivyo vidogo vidogo uhuru wa kutekeleza shughuli zao ili kuhakikisha wakulima wanawasilisha majani chai bora.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News