Wafanyabiashara wakadiria hasara ya kukatizwa kwa umeme

  • | KBC Video
    8 views

    Wafanyibiashara mjini Kajiado wamelalamika vikali kuhusu kupotea kwa umeme huku wakiachwa gizani kwa wiki mbili sasa.Wafanyibiashara hao walioghadhika waliandamana hadi afisi za kampuni ya Kenya Power huko Kajiado wakidai kuwa hitilafu kwenye mtambo wa Transfoma imekuchua muda mrefu kurekebishwa licha ya kilio chao. Wanasema kuwa giza limehatarisha usalama mjini humo hasa nyakati za usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive