Burkina Faso yashuhudia mashambulizi ya kigaidi baada ya Wagner kuondoka
Burkina Faso yashuhudia mashambulizi ya kigaidi baada ya Wagner kuondoka
Mamluki wa Russia walioajiriwa kutoa ulinzi nchini Burkina Faso walianza kuondoka nchini humo mwishoni mwa mwezi Agosti wakisema kwamba wanapinga uvamizi wa hivi karibuni wa Ukraine nchini Russia.
Takwimu zinaonyesha mamluki hao wamekuwa na mafanikio madogo katika vita vya Sahel dhidi ya makundi ya kigaidi ya Kiislamu. Mwandishi wa VOA, Henry Wilkins anaripoti, kuwa Burkina Faso ilishuhudia moja ya mashambulizi mabaya sana ya wanamgambo katika miaka ya hivi karibuni katika wiki ambayo mamluki wa Russia waliondoka. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili.
#russia #wagner #mamluki #burkinafaso #magaidi #wanamgambo #sahel #voa #voaswahili
5 Aug 2025
- The feature is set to revolutionalise how the messaging platform works.
5 Aug 2025
- The products have grown in popularity among women.
5 Aug 2025
- Details required to register a car in Kenya.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
6 Aug 2025
- Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
6 Aug 2025
- Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
6 Aug 2025
- A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
6 Aug 2025
- A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
6 Aug 2025
- The building collapse that sparked Tanzania's jobs ban
6 Aug 2025
- How firm's bid to turn waste into cash is paying off
6 Aug 2025
- MPs threaten to impeach Mbadi, PS for 'contempt'
6 Aug 2025
- If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
6 Aug 2025
- Why we should start thinking twice before having children