- 13,220 viewsDuration: 3:48Viongozi mbalimbali wa ulimwengu wameungana na Wakenya kumuomboleza Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga. Viongozi wa dunia wamemtaja marehemu Odinga kama nguzo kuu ya demokrasia na mfano wa kujitolea, wakimwelezea kama kiongozi aliyeweka maslahi ya taifa juu ya matamanio binafsi