- 18,730 viewsDuration: 4:27Jina Raila Amolo Odinga limeganda kwenye historia ya Kenya kama kiongozi aliyestahimili mawimbi ya siasa kizazi baada ya kizazi. Licha ya kuwa mstari wa mbele kwenye ajenda za demokrasia na mabadiliko ya taifa, Raila alikosa urais mara tano