- 3,751 viewsDuration: 3:55Mwenyekiti Wa Royal Media Services Daktari S.K. Macharia amemuomboleza Raila Odinga akimtaja kuwa mtu muhimu sana katika maisha yake. Kwenye ujumbe wake, Daktari S.K. Macharia ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Raila amesema hakuwa tu ndugu na rafiki bali kiungo muhimu cha maisha yake. Mwenyekiti huyu wa Royal Media Services amesema alimjali sana odinga ambaye malengo yake ya uongozi yaliambatana na imani yake. Daktari S.K Macharia amesema familia yake imepoteza mmoja wao