Kipaji, nia na kuthubutu siku zote huleta matokeo chanya katika maisha ya binadamu .
-
Leo hii Godfrey Rugalabamu maarufu kama GaraB @mcgarab ambaye ni mshereheshaji wa shughuli mbalimbali za kijamii. Wengi wanamchukulia kama mtu aliyeleta mapinduzi katika sekta ya ushereheshaji maarufu (MC) na kuwafanya vijana wengi kuichukulia kama fursa ya kujiingizia kipato.
-
Mwandishi wa BBC David Nkya @mcdavid_nkya_ yuko na GaraB , una swali kwake. karibu
-
-
#bbcswahili #burudani #tanzania #nyotawaafrikamashariki
15 May 2025
- Uriri Member of Parliament Mark Nyamita has opined that there is no formidable force in place to remove President William Ruto from office come the 2027 General Election.
15 May 2025
- "We do not have the intention to switch off anyone because there is freedom of expression that is enshrined in the constitution,” Kabogo said.