Viongozi wa eneo la kati wajitenga na Naibu Rais huku wakimtangaza Waziri Kindiki kama kiongozi wao.

  • | Citizen TV
    2,798 views

    Viongozi wa eneo la kati wameendeleza juhudi zao za kujitenga na naibu rais Rigathi Gachagua wakimtangaza waziri wa usalama Kithure Kindiki kama kiongozi wao. Wakizungumza baada ya kukagua barabara ya maumau iliyokuwa imekwama kwasababu ya wanakandarasi kukosa kulipwa.

    Viongozi hao wanasema gachagua anaendeleza siasa za mgawanyiko na hivyo hawakilishi mawazo yao. Gachagua amekuwa akipigwa vita na baadhi ya viongozi wa mlima kenya.