- 646 viewsMakamu wa Rais wa Marekani Mdemocrat Kamala Harris na Rais wa zamani Mrepublikan Donald Trump walikuwa hawajawahi kukutana mpaka usiku wa Jumanne katika mdahalo wao wa urais, lakini mara moja walianza kulumbana katika ushindani muhimu kuelekea katika uchaguzi wa Novemba 5. Wagombea hao wawili walisalimiana kabla ya kuanza mdahalo, kila mmoja akaelekea kwenye sehemu yake jukwaani katika National Constitution Center huko Philadelphia na kuanza kulumbana. Walibishana kuhusu uchumi wa Marekani, haki ya kutoa mimba kwa wanawake wa Marekani, uhamiaji katika mpaka wa Marekani na Mexico, vita vya Israel na Hamas huko Gaza, uvamizi wa Russia nchini Ukraine, na ghasia katika Bunge la Marekani Januari 6, 2021, wakati Congress ikiidhinisha Bunge likirasmisha matokeo ya uchaguzi 2020 ambao Trump alishindwa. Akieleza kushindwa kwa Trump uchaguzi wa 2020 ambapo Rais Joe Biden alishinda, Harris alisema, “Donald Trump alifukuzwa kazi na watu milioni 81. Ana wakati mgumu kulikubali hilo. Trump hivi karibuni alisema alishindwa katika uchaguzi “kwa kura chache,” lakini katika jukwaa la mdahalo Jumanne, alisema alikuwa anafanya kejeli na kukataa kukubali uhalali wa matokeo ya uchaguzi wa 2020. #harris #trump #debate #uselections #voa
Harris, Trump waanza malumbano mwanzo kabisa wa mdahalo wao
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has outlined a bold vision for Kenya should he clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 6 Aug 2025 - Busia Senator Okiya Omtatah has launched a scathing attack against President William Ruto, questioning his integrity, and suitability to hold public office.
- 6 Aug 2025 - Firebrand Busia Senator and 2027 presidential hopeful Okiya Omtatah has declared his net worth to be in the range of Ksh.100 million to Ksh.200 million.
- 6 Aug 2025 - A section of Members of Parliament allied to the Kenya Kwanza administration have strongly rejected a report by the Kenya Human Rights Commission (KHRC) that called for the scrapping of the Hustler Fund.
- 6 Aug 2025 - A 14-year-old who was on the verge of being married off in Kajiado County was rescued, amidst rising concerns of early child marriages during the school holiday season.
- 6 Aug 2025 - If he stabilises the economy, 2027 election will be Ruto's to lose
- 6 Aug 2025 - Why we should start thinking twice before having children
- 6 Aug 2025 - Audit exposes Sh9.4b hole in e-Citizen, shows millions paid in illegal charges
- 6 Aug 2025 - Six Kenyans sue polls agency for blocking petitions to recall MPs
- 6 Aug 2025 - Raila's sudden opposition to NG-CDF after 20 years silence