Wasimamizi wa shule za walemavu wataka misaada zaidi

  • | Citizen TV
    112 views

    Ukosefu wa walimu wa kutosha katika shule za watoto walio na ulemavu katika kaunti ya Kwale unasemekana kuwa kikwazo kikubwa katika kufanikisha elimu ya watoto hao. Mwalimu mkuu wa shule ya Kwale ya wanafunzi wenye matatizo ya kimaumbile, Sophia Oblia amesema shule hiyo inalemewa na na tatizo la ukosefu wa walimu wa kufunza vitengo vya ulemavu wa ubongo na tawahudi