Serikali ya Taita Taveta na Shirika la USAID-Stawi imeanzisha mradi wa maji ya kufanya kilimo

  • | TV 47
    8 views

    Serikali ya Taita Taveta na Shirika la USAID-Stawi imeanzisha mradi wa maji ya kufanya kilimo.

    Zaidi ya wakulima 200 wanatarajia kunufaika na mradi huo wa Millioni 31.

    Wito umetolewa kwa vikundi mbalibali kutuma maombi ya kupata ufadhili wa miradi yao.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __