Jamaa adaiwa kujeruhiwa na afisa wa polisi Makueni

  • | KBC Video
    12 views

    Familia moja katika kijiji cha Kyanguu, kaunti ndogo ya Makueni inatafuta haki baada ya jamaa wao kudaiwa kujeruhiwa alipokuwa akinyolewa kwa kisu na afisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Matiliku.Duru zinadokeza kuwa jamaa huyo kwa jina Mwendwa Muteti, ambaye ni mhudumu wa boda boda alikamatwa baada ya kulumbana na afisa wa polisi katika baa moja katika mji wa Matiliku .Afisa huyo wa polisi anasemekana kwenda nyumbani kwake na kuchukua kisu alichotumia kumnyoa na kumjeruhi kabla ya wahudumu wengine wa boda boda kuinglia kati na kumpeleka katika hospitali ya kaunti ndogo ya Matiliku

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive