Taifa la uingereza lashirikiana na serikali ya Busia

  • | Citizen TV
    240 views

    Taifa la uingereza likishirikiana na serikali ya kaunti ya Busia limezindua mfumo wa kidijitali utakaowasaidia wakulima kupata huduma za kilimo kwa urahisi pamoja na kuongeza kiwango cha chakula katika kaunti hiyo.