Jamii yahamasishwa dhidi ya ukeketaji kaunti ya Narok

  • | Citizen TV
    121 views

    Wawakilishi wa vijana 50 wa makundi ya kupiga vita ukeketaji kutoka maeneo bunge sita katika kaunti ya Narok wamepokea mafunzo maalum ya kutoa hamasisho dhidi ya ukeketaji kupitia mitandao.