Msako wa wavuvi haramu Ziwa Viktoria waanzishwa

  • | KBC Video
    5 views

    Kamishana wa kaunti ya Homa Bay Moses Lilan ametoa onyo kali kwa watu wanaoendeleza uvuvi haramu na kuwaajiri watoto katika eneo la ziwa Victoria.Akiongea baada ya msako wa shughuli haramu katika eneo hilo, Lilan alifichua kuwa idadi ya samaki katika ziwa hilo imepungua pakubwa kutoka tani laki moja hadi tani elfu -39 na akawahimiza wavuvi kuzingatia kanuni za uvuvi. Onyo hilo ni mojawapo ya juhudi za wadau mbalimbali za kukabiliana na uvuvi haramu zinazoongozwa na shirika la huduma za uvuvi humu nchini

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive