Mrundiko wa taka umehatarisha afya ya wakazi vitongojini

  • | Citizen TV
    228 views

    Wakaazi katika kaunti ya Migori wanaishi kwa hofu na wasiwasi ya kuambukizwa Magonjwa mbalimbali kufuatia Hali duni ya kudhibiti taka