Hamasisho latolewa kwa jamii kuelimisha wasichana Kisii

  • | Citizen TV
    159 views

    Viongozi wa mashirika mbalimbali njini Kisii kwa ushirikiano na shirika moja la Marekani wameanzisha mchakato wa kutoa hamasisho kwa wakazi na wanafunzi kutoka eneo la Gusii kukumbatia masomo ya mtoto wa kike katika jamii.