Vijana waandamana kupinga utepetevu wa kaunti Busia

  • | Citizen TV
    184 views

    Gavana wa kaunti ya Busia Paul Otuoma amekiri kuwepo na changamoto nyingi katika sekta ya afya ya Busia ikiwemo ukosefu wa huduma hospitalini.