Wahadhiri wanaogoma wamekutana na waziri wa Leba Alfred Mutua

  • | Citizen TV
    181 views

    Wahadhiri wa vyuo vikuu wanashikilia kuwa mgomo wao utaendelea hadi pale watakapoafikiana na serikali kuhusu utekelezaji wa mkataba wa maelewano. Wakizungumza baada ya mkutano kati yao na waziri wa leba dkt afred mutua, viongozi wa wahadhiri hao pamoja na wale wa wafanyikazi wa vyuo vikuu wameafikiana kuteuliwa kwa kamati maalum itakayoratibu mikakati ya kurejea kazini. Mgomo wa wahadhiri na wafanyikazi w avyuo vikuu umeingia siku yake ya nane.