- 34,168 viewsDuration: 2:52Watu kadhaa wameripotiwa kufariki huku wengine wakiwachwa na majeraha kufuatia vurumai lililozuka wakati wa shughuli ya kutaza mwili wa aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani. Shughuli hii iligeuka kuwa fujo kwa muda, baada ya umati wa wakenya kujitokeza kwa shughuli hiyo. Maafisa wa polisi walizidiwa nguvu na wale waliofika na kulazimika kurusha vitoa machozi kutawanya wakaazi kuingia maeneo yaliyolindwa