Wamiliki wa mashamba ya kuja huko Nyatike kulipwa fidia

  • | Citizen TV
    129 views

    Serikali imetenga shilingi milioni 68 kama fidia ya watu waliotoa ardhi yao kwa ajili ya kuanzishwa kwa mradi wa unyunyizaji maji wa Kuja katika Kaunti Ndogo ya Nyatike kaunti ya Migori