Kindiki asema watu 42 walifariki kwenye maandamano ya gen-z

  • | Citizen TV
    834 views

    Waziri wa usalama wa ndani na uratibu wa serikali profesa Kithure Kindiki amesema watu 42 walifariki kwenye maandamano ya gen-z. kadhalika Kindiki amefichua kuwa watu wengine 132 hawajulikani waliko kufikia sasa