Ibada ya kumbukumbu Endarasha

  • | Citizen TV
    980 views

    Familia 9 kati ya 21 ziliowapoteza Watoto wao Kwenye mkasa wa moto shuleni Hillside Endarasha zinaendeleza hafla ya kuwapumzisha Wana wao maeneo tofauti Katika kaunti ya nyeri, Baada ya ibada ya wafu kufanyika hii Leo Katika uwanja Mweiga kaunti ya Nyeri