- 13,065 viewsDuration: 3:26Shughuli ya kumpa heshima za kijeshi aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga ilitibuka leo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, wananchi wakivuruga shughuli pindi tu mwili wake ulipotolewa kwenye ndege. Rais William Ruto hakupokea mwili huo wa Odinga katika uwanja huo, licha ya kufika akiandamana na viongozi wengine wakuu serikalini.