- 7,304 viewsDuration: 2:59Mwili wa Raila Odinga ulisafirishwa kutoka Mumbai nchini India alikofariki hadi Nairobi, ukiwa kwenye msafara wa jamaa wa familia na maafisa wa serikali na wandani wake. Ndege iliyobeba mwili wa Raila ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta mwendo wa saa tatu asubuhi