- 1,499 viewsDuration: 2:45Huku taifa likimuomboleza aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, mafanikio yake ya kisiasa yameorodheshwa kwa mapana. Hata hivyo, ni wachache wanaofahamu maisha yake kabla ya siasa, ambapo inakisiwa alitembea karibu sana na hayati Jaramogi Oginga